Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gsm mjanja sanaKiukweli karibia Wananchi wote wamecheza vizuri ndani ya hizi dk. 45 za kipindi cha kwanza! Ingawa kwenye zile dakika za mwanzo walianza kwa kucheza taratibu.
Kuanzia Dickson Job, Yannick Bangala, Khalid Aucho, Babu Kaju Sure Boy, Fei Toto, Fiston Mayele, Chiko Ushindi kwa mbali, na wote walio bakia; hakika wamecheza mpira mkubwa sana.
Tuwapige la pili, tucheze sasa show game. Shime Wananchi 💪
Mwaka wetu huu 🍻
Umeniwahi aseeh nina imani kibudenga atashinda maana ana magoli 27 mpaka sasaMechi ikiisha twende uzi wa takwimu Kibu D Vs Mayele tukaweke rekodi Sawa.
Acha ujuhakuna mkubwa mmoja wa Utopolo anaeifadhili pia Coastal kaweka hela Coast wauze mechi ili mtawazwe kua mabingwa leo hii.
Utopolo ni Utopolo tu.
simba mzee ni sawa na pakakuna mkubwa mmoja wa Utopolo anaeifadhili pia Coastal kaweka hela Coast wauze mechi ili mtawazwe kua mabingwa leo hii.
Utopolo ni Utopolo tu.
Kuna donge flani hivi limekukaba kwenye kookuna mkubwa mmoja wa Utopolo anaeifadhili pia Coastal kaweka hela Coast wauze mechi ili mtawazwe kua mabingwa leo hii.
Utopolo ni Utopolo tu.
Thimba mzee sawa na nyausimba mzee ni sawa na paka
Nenda kwenye Page yenu,Mikia wameona wawape usajili tu siku mabingwa wakipewa chao,ili kiwapoozaMwaka wa utopolo huu ..tutakoma mbona...kuna mwingine humu anadai eti GSM ni mjanja kawaleta man city wamevamia jezi za yanga🤣🤣🤣