FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

pamoja na hari ya kubeba ubingwa lakini bado mashabiki wa Uto kwenye matumizi ya mitandao wapo shalow sana.huu uzi umesinzia sana au hamna hela ya kuweka mb watani?
 
pamoja na hari ya kubeba ubingwa lakini bado mashabiki wa Uto kwenye matumizi ya mitandao wapo shalow sana.huu uzi umesinzia sana au hamna hela ya kuweka mb watani?
Tulisajili kikosi kizuri,

Tumefanikiwa kuitia kwapani ngao ya jamii

Tumefanikiwa kutinga nusu fainali ASFC

Tunakaribia kubeba ubingwa wa ligi kuu, hata Kama siyo Leo lakini tuna asilimia nyingi

Tumeweka record ya kutofungwa kwenye ligi.

Nini Tena kitatushangaza Wana jangwani , Kila kitu tunakiona ni Cha kawaida
 
Makolo mkinuna nawatumia mapato ya april [emoji12]
 
[emoji22][emoji22][emoji23]Ila uyu Oscar mtu mbady.
 
Tunaweza kushuhudia soka la ovyo sana leo.
Maana wamekamiana sana.
 
pamoja na hari ya kubeba ubingwa lakini bado mashabiki wa Uto kwenye matumizi ya mitandao wapo shalow sana.huu uzi umesinzia sana au hamna hela ya kuweka mb watani?
Hawashangai mambo amayo ni obvious
 
Hawatashinda Hata Moja Niamini Mimi Mkuu.
Hawa watoto wanaweza kutuchelewesha kunyanyua makwapa. Kwa siku za karibuni wamekuwa wakiupiga mpira mkubwa sana.

Wako well organized! Wanajiamini! Wanajaribu kupiga nje ya 18! Kiukweli wananipa hofu kwa kiasi fulani.

All in all, nawatakia wananchi ushindi ili tuwe rasmi mabingwa wa ligi kuu msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…