Kwa hiyo mlikuwa baadhi mnaota Wananchi watapoteza mechi zote zikizobakia, na timu yenu itashinda mechi zote na kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 5 mfululizo! πππTANESCO zimeni umeme hii nchi uhuru umezidi.
Makolo wakakate rufaa.Yanga Bingwa
Kwa timu kama CoastalππSoldier ya bemba anaupiga mwingi sanaa πππ₯π₯π₯π₯
Kwani wewe mwaka huu hujapasukahizi raha na burudani mnazopata msimu huu ndo mwisho.
endeleeni kuwapasua, timu yoyote mnayokutana nayo nyinyi pasueni tu,endeleeni kupasua watu.
mtapotezaje mechi wakati mnasambaza bahasha!Kwa hiyo mlikuwa baadhi mnaota Wananchi watapoteza mechi zote zikizobakia, na timu yenu itashinda mechi zote na kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 5 mfululizo! [emoji16][emoji16][emoji16]
Nyinyi ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu!! [emoji16][emoji16]
nguvu,akili,bidii na maarifa yalikua kupambania nchi nyumbani nikapuuzia.Kwani wewe mwaka huu hujapasuka
Yaani Simba B ni mchongo?Mechi ya mchongo
Na ukipewa hiyo bahasha, lazima uachie mwenyewe! πππmtapotezaje mechi wakati mnasambaza bahasha!
KwambaMakolo wakakate rufaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]acheni dharau aisee.Camera [emoji328] imemnasa semaji la CUF ya LipumbaView attachment 2262081
Mechi ya mchongo