FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

TANESCO zimeni umeme hii nchi uhuru umezidi.
Kwa hiyo mlikuwa baadhi mnaota Wananchi watapoteza mechi zote zikizobakia, na timu yenu itashinda mechi zote na kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 5 mfululizo! 😁😁😁

Nyinyi ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu!! 😁😁
 
Soldier ya bemba anaupiga mwingi sanaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Kwa hiyo mlikuwa baadhi mnaota Wananchi watapoteza mechi zote zikizobakia, na timu yenu itashinda mechi zote na kuchukua ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 5 mfululizo! [emoji16][emoji16][emoji16]

Nyinyi ndiyo maana Rage aliwaita mbumbumbu!! [emoji16][emoji16]
mtapotezaje mechi wakati mnasambaza bahasha!
 
πŸ†πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
FB_IMG_1655320211795.jpg
 
Oyooooo..!!! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom