FT: NBC Premier Ligi | Dodoma Jiji 0 - 0 Azam FC Jamhuri Stadium | 03/10/2023

Dodoma Jiji Hawana Foward wazuri
 
Dua yangu ni kutaka kila timu inayocheza hapa isifungwe
 
Dakika 59 "
Dodoma Jiji 0-0 Azam
 
Dodoma Jiji wanaanza kupwaya.
Watapigwa
 
Azam wanashambulia sasa
 
Vipi kijana alieibiwa demu wake anaonesha makali?
It was a very bad move kutoka Yanga,ameenda kwenye timu ambayo haina ushindani wowote au malengo ya maana, nani atamwona huko azam heri angeenda hata Simba,hana ukali wowote tena kashuka sana
 
Dodoma Jiji naona kama wamechoka kidogo
 
It was a very bad move kutoka Yanga,ameenda kwenye timu ambayo haina ushindani wowote au malengo ya maana, nani atamwona huko azam heri angeenda hata Simba,hana ukali wowote tena kashuka sana
Atarudi Simba Dirisha dogo.
 
Dodoma wanafanya uzembe mwingi.
watalizwa hapa
 
Dakika 64"
Dodoma Jiji 0-0 Azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…