Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, gongo wazi lengo lilikua kuvishwa medali. Shanga watavaa makolo, maana hawana cha kuvaa!Kwani sisi Gongowazi lengo lilikuwa kuvishwa shanga?
Hauwezi kua na akili kuwazidi walioiandaa hiyo medali.Medali ya bila ubingwa ni kukubali kuwa wewe ni loser.
Sio kitu cha kujivunia hata kidogo
Vyovyote utakavyochambua wewe... Mimi Niko nimekaa paleee. Safari hii mpaka kunguni wote tunapita nao tu. Potelea mbaliMayele anacheza na Prison ni mechi ambayo haiwezi kuwa rahisi hivyo nafasi ya yeye kufunga ni ndogo kuliko Saido ambaye anacheza na Coastal tena tukiwa nyumbani
Nasemajeee kama vipi vunja bei nae aingilie kati tu.... Kama kuingilia katikati unaona rahisi. Msimu huu hampati kitu nyie madundukaTutaona labda GSM aingilie kati
GSM kahusika kwa % kubwa kwenye ubingwa wenu nje ya uwanja.Nasemajeee kama vipi vunja bei nae aingilie kati tu.... Kama kuingilia katikati unaona rahisi. Msimu huu hampati kitu nyie madunduka
Maana yake 'Well', kwa Kifaransa ndio 'Bon', na matamshi yake ndio hiyo BooHii Boo anayotumia Zahera huwa na maana gani
Sisi tunaomba na vunjabei nae ashinde mechi zake... Mbona simpo mkuuu. Mana mazungumzo ya hapa sasa tunataka Kwa facts hata mechi nje ya nchi.. kuanzia tp mazembe ,huko sauthi afrika mpka uarabuni ...GSM YUKO WAPIGSM kahusika kwa % kubwa kwenye ubingwa wenu nje ya uwanja.
Na saizi lazima afanye kitu kunusuru mwana apate kiatu.
Sema naye yule jamaa haaminiki, GSM anaweza kujipinda kumlipia ada mtoto wa refa ikapatikana penati ya Cuba halafu mwana akakosa.
Duh!...labda wameona cha CAFCC kinamtosha ?Yanga kutokumchezesha Mayele ni chuki binafsi.Hawataki achukue kiatu kingine za dhahabu!
Vunjabei ni kit maker, ila GSM na jana alivyohakikishiwa uhuru kwenye biashara zake basi ataenda kufanya x5 ya vile alivyokuwa anafanya kabla hajapewa confidenceSisi tunaomba na vunjabei nae ashinde mechi zake... Mbona simpo mkuuu. Mana mazungumzo ya hapa sasa tunataka Kwa facts hata mechi nje ya nchi.. kuanzia tp mazembe ,huko sauthi afrika mpka uarabuni ...GSM YUKO WAPI
So unatuhakikishia ubingwa Caf mwakan Kwa unavyomjua bos wetu right??Vunjabei ni kit maker, ila GSM na jana alivyohakikishiwa uhuru kwenye biashara zake basi ataenda kufanya x5 ya vile alivyokuwa anafanya kabla hajapewa confidence
A very happy birthday to you ScarsFun facts
Goli la kwanza limefungwa dakika ya 26
Kuanzia dakika hiyo ukiendelea kuhesabu mpaka dakika ya 21 lilipofungwa bao la pili utakuwa umekamikisha namba 6
Goli la Israel Mwenda lilifungwa dakika ya 66
Mechi imeisha kwa ushindi wa mabao 6
Na leo ni siku yenye sita sita mbili, yani tarehe 6/6
Cha ziada ni kuwa hata mimi nimezaliwa tarehe na mwezi kama huu.
Hajawahi kuwa na goal 17.