OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Miaka 25 bila lolote huko CAFCL, ni zaidi ya ujinga kwakweli.Jitu la hovyo ni wewe unayepiga bomu mochwari halafu unashangilia umeua
Ule mchezo wenu wa miaka ile umerudi rasmi. Ili mshinde lazima kuwepo kadi Nyekundu.Mitopolo haiamini Simba inavyotoa doses za uhakika
We nyonyo huoni aibu???kama unaujua mpira ungegongwa na azam?red 2 kweli?Mitopolo haiamini Simba inavyotoa doses za uhakika
Mkono na nyekundu 2Mkono
Ya aibuHamsaaa