Maana ya kukamia ni nini?Naona Mtibwa wamekamia kweli kweli Mechi hii......ingawa Simba wanaonekana imara na wenye Hali ya ushindi....au mwenzangu....mwana JF??
Acha afeSakho kajigonga kwenye mwamba wa goli
Mechi hii ni ngumu kweli kweli..maana hata hapa jukwani mwana JF mwenzangu ana maswali magumu magumu....ndugu wasikilizaji...Maana ya kukamia ni nini?
Unataka waachie mfunge ?