Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Sakho alistahili kuwa nje Kwa red card . We mwanasimba gani usiyependa mpira wa haki??Tuachie timu yetu [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sakho alistahili kuwa nje Kwa red card . We mwanasimba gani usiyependa mpira wa haki??Tuachie timu yetu [emoji3]
Red card goli lilishafungwa acheni kelele vyura jamani hili la pili kwani wachezaji wote wanashika mpira kwa wakati mmoja mpk useme imetubeba?Wera kitu gani ww. Redcard imewabeba
Hilo kosa tufanye ni kosa la.refa kama nyie jana ile penaltySakho alistahili kuwa nje Kwa red card . We mwanasimba gani usiyependa mpira wa haki??
Si katika harakati za kujitoa pale,umeangalia vizuri,mwenyewe tu alipojitoa jinsi alivyomkanyaga ,hakufuraia tukio lile
Bado Yuko ndani Kwa msamaha wa refa.Mgunda toa Sakho atakula umeme sio muda
mshindwe nyie refa amesha malizaBado 3
refa anaonesha mahaba wazi waziBado Yuko ndani Kwa msamaha wa refa.