FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

Mtibwa

Eliuta Mpepo anatoka
Juma Nyangi Galambari anaingia
 
Free kick

Mtibwa

Manura anadaka

Sakho
Okra

Off side
 
Ni mda sasa kijana aliemaliza darasa la Saba juzi Banda aingie ...profesa atakula umeme mda si mrefu
 
Uto utawajua tu hawana jema kwa Simba, mara Simba wanabebwa, mara ooh wanabutua butua tu, wanasahau kwamba Simba ndo imewabeba mpaka wanapanda Ndege kwenda Sudan
 
Back
Top Bottom