Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Mzize papara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MatutaIkiwa sare nini kinafuata?
Haya bana. Inaonekana hata macho huna. Anyways amewatoaMkuu, ndio maana ukocha wanasomea. Timu haipangwi kwa kuangalia majina tu,balance ni muhimu
Mwacheni msimsakame under 17Mzize akili hamna..
MatutaIkiwa sare nini kinafuata?
Yusuf Bakhressa pamoja na uwekezaji mkubwa unaofanya AzamFc kwa wachezaji wa diazini ya huyu kipa hutoboi tajiriiii
Kwa mpira huu hii Azam haina maajabu yoyote, tunasubiri tuione na Singida Fountain
Huko kombe la shirikisho (CAFCC) Azam wajipange sana.Azam hawana Kipa Mwingine?
Tuliwaambia kipindi kile, lakini hawakukubali, tegemeo ilikuwa kwa mchezaji mmoja TUYanga ilikuwa na wachezaji wa kawaida sana ila Akili tu ya Nabi,, taratibu tutaelewana
Dogo anazinguaMzize papara
🤣🤣🤣Makocha wote wana Solar kichwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana, aendelee kuwa hivyo hivyoNzengeli amekata upepo kiaina. Sio mchezaji wa dakika 90