Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Straika wa Azam Allasane (Jiti mwitu) bado hajagusa boli mpaka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAFCC' first runners' msimu uliyopita unamuita wa 'mchangani' ?Hii Yanga ni Mchangani FC ya ligi kuu.
Hii Yanga tusiidharau, sio mbaya. Inakosa mshambuliaji.Hii Yanga ni Mchangani FC ya ligi kuu.
Afadhali...... haya njooni sasa jamvini.....Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
umeona eeh
Maiti imepiga chafya.....Mzizeee..Lalalaaaa
Hata Fei ,sopuWachezaji wa Tanzania ni kama homa za vipindi hawaaminiki.
Mechi na Kaizer Chiefs kila mtu alimsifu Ngushi, sasa sijui shida ni nini kwa wachezaji wazawa?
Hapo kwa washambuliaji panahitaji kunolewa sana....... anyway huenda wakaimarika mbeleni.Mechi tumedominate kila kitu, ila tunchemka kuimaliza.