FT: Niger 0-1 Tanzania. Kufuzu Kombe la Dunia. Novemba 18, 2023

Wakuu hivi haiwezekani kuwe na timu ya taifa ambayo haitokani na wachezaji wa kwenye vilabu tofauti ili kuwe na mda wa kutosha wa kujiandaa,au club iitwe taifa stars inashiriki ligi pia ila wachezaji wa ndani tupu na gharama ya kuendesha itoke kwa TFF au wamtafute mdhamini, labda tutatoboa, kuliko kuleta sura jipya kila mechi
 
Haiwezekani
 
Vp huko wakuu, tufurahie ushindi au kuna dosari tuzitafakari?
 
Uliwahi kuiona wapi inshu kama hiyo??
Hakuna njia ya mkato kama tunataka timu ya maana tupromote wachezaji wetu wacheze ulaya kwenye zile ligi za ushindani...
Angalia timu za Magharibi wachezaji wao wapo huko Ufaransa wingereza NK
 
Yeah, hata hapa kwenye vilabu vyetu vya simba na yanga na azam wachezaji wa ndani wawewanawika sio chama na aziz ki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…