FT Nsingizini 0-3 Simba SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Somhlolo National Stadium| 19.10.2025

FT Nsingizini 0-3 Simba SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Somhlolo National Stadium| 19.10.2025

Mie nikajua ni waya wa HD chomoa chomeka, hamisha waya nyinge labda kuna magnetic fields lkn wapi.

Sema vile wao ni kama sisiemu, hatuna cha kuwafanya
Kwa hapa Bongo hawana mpinzani, ila waongeze uwekezaji kwenye vifaa

Wanasemaga wana full HD, lakini Kwa mechi ya Jana utasema bado tupo analog tu 🙌
 
Back
Top Bottom