Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Na tena alikuwa anakosa ila ndio bahati mola akasaidia akafungaAisee! Kibu kufunga tena ni mpaka mwakani tar19
Na tena alikuwa anakosa ila ndio bahati mola akasaidia akafungaAisee! Kibu kufunga tena ni mpaka mwakani tar19
Wewe ndio umelewa au hangover ya Vunga Chizi?Aliyepigwa wa Botswana kweli au Malawi ?Walevi wa botswana
Azam hii resolution mbona kama 144pazam hausiki na mambo ya camera sema azam ananunua maudhui so huwez mlaumu azam
azam hausiki na kule ye menyewe kaunganishiwa na kituo kilicho kule sa unamsema azam as if yeye ndo anaerekodi kule wakati kauziwa tuWamevimba vichwa siku hizi kama matikiti. Shenzi zao Azam tv.
We are satisfied with what Vunga Uchizi did.We cannot ask for more.Nsingizini do something please.
Hii ni kawaida ya Azam kwa mech za Simba na matukio yanayohiusu hiyo timu.Nafikiri walikuwa hawarushi hii mechi moja kwa moja. Kuna wakati mitambo ilivyokuwa inakorofisha nikaona maandishi yametokea ghafla kwenye kioo yameandikwa Eswatin TV. Huenda walikuwa wanaruka kupitia hii Eswatin TV ndio ikawa sababu ya picha kuwa mbovu
Hapana ila lazima ukweli usemwe sasaa nsingizini kweli nayo ni timu au kilabu cha waleviWewe ndio umelewa au hangover ya Vunga Chizi?Aliyepigwa wa Botswana kweli au Malawi ?
Walevi ni waliofungwa 1 jana waliingia uwanjani wamelewaHapana ila lazima ukweli usemwe sasaa nsingizini kweli nayo ni timu au kilabu cha walevi
Klabu ya Simba SC itashuka dimbani leo kuvaana na Nsingizini Hotspurs ya Eswatini katika mchezo wa Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League Second preliminary round Leg 1 of 2) utakaopigwa kwenye Uwanja wa Somhlolo nchini Eswatin. Mshindi wa jumla katika michezo hii miwili atajihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya makundi moja kwa moja.
All the best Simba Sc...Karibuni home of Updates
View attachment 3490582
View attachment 3490711
Kikosi kinachoanza dhidi ya Nsingizini Hotspurs
View attachment 3490736
HT' Nsingizini 0:1 Simba (Wilson Nangu).
View attachment 3490778
FT' Nsingizini 0 : 3 Simba Sc
Simba Asanteni!
Inaitwa Young Africans maana yake Vijana wa kiafrikaHata Yanga ni jina baya ni basi tunaliiona normal kwasababu tumelizoea
PoleeeeLeo jioni taarifa kwa umma
Matattoo katimuliwa
😂😂😂😂😂Timu inaitwa FC Usingizini! Utegemee iamke mchezoni!?
Ikiamka.. ...kutakuwa kumekucha kwa simba
utakaopigwa kwenye Uwanja wa Somhlolo nchini Eswatin. Mshindi wa jumla katika michezo hii miwili atajihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya makundi moja kwa moja
UshindweeeKwa dakika hizi walivyocheza Simba, kunaweza kutokea surprise nyingine leo kama Simba hawatobadilika
Kama mnaendekeza udini,.basi endeleeni kukandwa hivyo hivyo.Inaitwa Young Africans maana yake Vijana wa kiafrika
Hilo Yanga ni waswahili wenye timu yao huko Pwani yaani maustadh ndio badala ya Young wanatamka Yanga
Yanga inaongozwa kwa dua za kiislamu,Hakuna ukristo Yanga
Fuatilia mazoezi yao na hata mikutano yao toka enzi inaongozwa kwa misingi ya kiislam