Yaani camera zinaumiza macho balaaAse sijui wanatumia simu kurusha mechi
Njoo Singida Black StarsAzam hii resolution mbona kama 144p
Uko wapi huo Uzi?Nenda kwenye Uzi wa kina Elvis rupia. Huku ni kina nangu tuu
Commentator: Mpira umejaa kambani paleYaani camera zinaumiza macho balaa
Alafu hiyo HD hamna kabisa, bora niangalie kwenye DStv tu
Wanachezea shilingi pembeni ya tundu la choo.Hivi hizi backpass za ******* Simba huwa wanazipendea nini? Ya Radack Chasambi kidogo yatokee tena.
Halafu huyu kipa ni mzuri ila anahitaji kuboresha footwork na kujenga confidence.Hivi hizi backpass za ******* Simba huwa wanazipendea nini? Ya Radack Chasambi kidogo yatokee tena.
Wanachezea shilingi pembeni ya tundu la choo.Hivi hizi backpass za ******* Simba huwa wanazipendea nini? Ya Radack Chasambi kidogo yatokee tena.
Mwaka wenu huu Mwasibu.
Simba noma sana
😁Mwaka wenu huu Mwasibu.
Una chochote kipya cha nyongeza?Kwa dakika hizi walivyocheza Simba, kunaweza kutokea surprise nyingine leo kama Simba hawatobadilika