Hawa ndio wanaume wa kweli.Sio wale wa kubebwa wakienda nje tu wanazimika kama kibatari.Una chochote kipya cha nyongeza?
Azam kama sisiemu tu. Wanatuona hakuna cha kuwafanya. HahahahaAzam hii resolution mbona kama 144p
Mwaka wenu huu Mwasibu.
Wamevimba vichwa siku hizi kama matikiti. Shenzi zao Azam tv.Hii Azam yani katikati ya mechi wanatuwekea interview?
😂😂😂😂🤣Azam kama sisiemu tu. Wanatuona hakuna cha kuwafanya. Hahahaha
Mie nikajua ni waya wa HD chomoa chomeka, hamisha waya nyinge labda kuna magnetic fields lkn wapi.Mechi tunaongoza 1 bila, lakini hawa Azam TV watuonee huruma na hizi camera zao
Zinatutesa sana watazamaji wao, utadhani camera za hizi Online TV 🙌
Azam mara nyingi wanawafanyia Simba figisu na hili tuliwahi lidiscuss humu. Hiyo sio mara ya kwanza.Hii Azam yani katikati ya mechi wanatuwekea interview?
Nafikiri walikuwa hawarushi hii mechi moja kwa moja. Kuna wakati mitambo ilivyokuwa inakorofisha nikaona maandishi yametokea ghafla kwenye kioo yameandikwa Eswatin TV. Huenda walikuwa wanaruka kupitia hii Eswatin TV ndio ikawa sababu ya picha kuwa mbovuAzam mara nyingi wanawafanyia Simba figisu na hili tuliwahi lidiscuss humu. Hiyo sio mara ya kwanza.
Na mkitokewa sijui mnaficha wapi sura zenuMwaka wenu huu Mwasibu.
Hata Yanga ni jina baya ni basi tunaliiona normal kwasababu tumelizoeaTimu inaitwa nsingizini kweli
Its Pancho a.k.a Its MipashoLeo jioni taarifa kwa umma
Matattoo katimuliwa
Pale unapolazimisha msiba wako uwe wa wote, this is how you soundSimba na Yanga zote mbovu, Azam na Singida wakizichanga vizuri wanachukua ligi kuu
Ndio ninacho, Simba wameshinda goli tatu baada ya kubadilika. Japo sio kipimo sahihi kwa Simba ila timu imeonesha mabadiliko chanya kwa kocha hasa kwenye ufanyaji wa sub na transitionUna chochote kipya cha nyongeza?
Walevi wa botswanaIts Pancho a.k.a Its Mipasho