Dah Nsingizin wamekosa nafasi ya wazi kabisa.Simba na Yanga zote mbovu, Azam na Singida wakizichanga vizuri wanachukua ligi kuu
Hamna kitu ...Klabu ya Simba SC itashuka dimbani leo kuvaana na Nsingizini Hotspurs ya Eswatini katika mchezo wa Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League Second preliminary round Leg 1 of 2) utakaopigwa kwenye Uwanja wa Somhlolo nchini Eswatin. Mshindi wa jumla katika michezo hii miwili atajihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya makundi moja kwa moja.
All the best Simba Sc...Karibuni home of Updates
Yani ni utapeliutapeli tuSimba na Yanga zote mbovu, Azam na Singida wakizichanga vizuri wanachukua ligi kuu
ZimelowaKwani Azam Camera wameweka za simu au
Yani ni hamna kitu aseeeZimelowa
Mi nawacheki Singida Black Stars clear kabisa.Yani ni hamna kitu aseee
Nenda kwenye Uzi wa kina Elvis rupia. Huku ni kina nangu tuuElvis Rupia Baranga akitulia tu.
Kitu kinawaka hapa
Singida wako poa sana