Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 21,492 Reaction score 65,712 Oct 20, 2025 #101 Scars said: Commentator: Mpira umejaa kambani pale Commentator: Aaaah kumbe ni nyavu za nje Yani kumbe hadi Commentator haoni vizuri Click to expand... Yaani ilikuwa mateso! Huwezi kusema una camera za milioni 500 then picha tuone vile π
Scars said: Commentator: Mpira umejaa kambani pale Commentator: Aaaah kumbe ni nyavu za nje Yani kumbe hadi Commentator haoni vizuri Click to expand... Yaani ilikuwa mateso! Huwezi kusema una camera za milioni 500 then picha tuone vile π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 21,492 Reaction score 65,712 Oct 20, 2025 #102 Twin Tower said: Mie nikajua ni waya wa HD chomoa chomeka, hamisha waya nyinge labda kuna magnetic fields lkn wapi. Sema vile wao ni kama sisiemu, hatuna cha kuwafanya Click to expand... Kwa hapa Bongo hawana mpinzani, ila waongeze uwekezaji kwenye vifaa Wanasemaga wana full HD, lakini Kwa mechi ya Jana utasema bado tupo analog tu π
Twin Tower said: Mie nikajua ni waya wa HD chomoa chomeka, hamisha waya nyinge labda kuna magnetic fields lkn wapi. Sema vile wao ni kama sisiemu, hatuna cha kuwafanya Click to expand... Kwa hapa Bongo hawana mpinzani, ila waongeze uwekezaji kwenye vifaa Wanasemaga wana full HD, lakini Kwa mechi ya Jana utasema bado tupo analog tu π