FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Shida Umbumbumbuni hakuna rotation, wachezaji wanawatreat as robots.
shida lile dirisha tulipigwa na viongozi wanaosajili.
Muda mwingine unatamani kumlaumu mwalimu lakini ukikumbuka kwenye benchi kuna boko, kapama, nyoni, gadiel, sawadogo, Yule alietoka mbeya Kwanza, nk.... Unabaki kumuacha Tu ndani Chama,ntiba hata kama wamechoka.

Azam benchi unaliona Lina dube, kola, manyama, bin zeyd, idd nado, mukandara, tepsi evance,kipe jr, Edinho nk.....
 
Kipre jr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…