Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
๐ ๐ ๐Kombe la kunywea maji mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐Kombe la kunywea maji mkuu
shida lile dirisha tulipigwa na viongozi wanaosajili.Shida Umbumbumbuni hakuna rotation, wachezaji wanawatreat as robots.
Kipre jr.shida lile dirisha tulipigwa na viongozi wanaosajili.
Muda mwingine unatamani kumlaumu mwalimu lakini ukikumbuka kwenye benchi kuna boko, kapama, nyoni, gadiel, sawadogo, Yule alietoka mbeya Kwanza, nk.... Unabaki kumuacha Tu ndani Chama,ntiba hata kama wamechoka.
Azam benchi unaliona Lina dube, kola, manyama, bin zeyd, idd nado, mukandara, tepsi evance, nk.....
finyofinyo hawabebeki kakaPamoja na kubebwa lakini wapi
We cheka tu wakati nimeamua kukuachia upambane na Azam.๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tusiwalaumu Sana, SeMBe mabingwa wa ROBO FAINALI hawajakaa sawa kutokana na furaha yao iliyopitiliza ya kuchukua kombe hilo mara ya nne ndani ya miaka 5.Sijakataa ila Simba huu sio mpira wake mimi naona minazi tuu hapa.
Sasa hao kila game haikuwa game yao, si isemwe tu kuwa wamechoka hawana tena nguvu za kuibeba timu.Why Simba sub zinachelewa? Kuna wachezaji wamechoka, wengine game zimekataa why hadi dakika ya 70 hatubadiliki? Chama, Saido haikuwa game yao leo.
Sponsor kagoma kutuachiaSponsor niachie my wangu
Umeonaeeee...! Dogo leo hayumo kabisa anapoteza mpira wa wazi kabisaNIMEAMINI SOPU NI MWANASIMBA!!
Ulikua unaangalia mpira gani weweHakuna tuta pale Chief..