Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Onyango Onyango ONYANGO
Nimekuita mara 3
Nimekuita mara 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kelele nyingi amekosa kujiamini..Onyango Onyango ONYANGO
Nimekuita mara 3
Kabisa, amekosa utulivuBaada ya kelele nyingi amekosa kujiamini..
Soka la tz ni pressure sana
Sana na lazima atachoma hii gameBaada ya kelele nyingi amekosa kujiamini..
Soka la tz ni pressure sana
Kulingana na Hali halisi ya utawala wa sisiemu uwanja uko vizuriUwanja mbovu unaharibu ladha ya mechi. TFF walijua siku zote wanapeleka mechi huko ila wanakuja kutupa uwanja kama huu.
Labda Casablanca ya Buza, mlifanya nini kule zaidi ya kuliwa kibogaUto wanaomba isitokee wakutane na timu iliyofanya maajabu Casablanca