Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Azam hi bukta wametoa wap mbn kama wamejinyea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya golikipa mzuri ni kuzuia mpira usiingie golini sio kudaka mpira.golikipa amefanya sehemu yake kilichotokea ni kutokuelewana tu kwa wachezaji wa simba waliokuwepo ndani ya box na ilo nilakawaida mpirani.Huyu kijana apewe moyo ili ajiamini zaidi badala ya kulaumiwa.Ally Salim asipobadilisha mtindo wake waudakaji atakuja kutukosti kwenye mechi muhimu (na hii ikiwemo)
We kila mpira unaopigwa unatema tu, tena bila kuangalia kuwa umekaribiwa na wapinzani lakini bado hurekebishiki tu.
Hakuna tuta pale Chief..Refa kapeta penati kwa Azam
Lakini ukiangalia marejeo ni kama hakukuwa na physically contactsRefa kapeta penati kwa Azam
Una uhakika ni penati. Maamuzi bora kwa refa.Refa kapeta penati kwa Azam
Sio tutaAzamFc kanyimwa tuta la wazi
Marejeo ukiangalia yanapunguza utataHakuna tuta pale Chief..
huyu mtu ni wakutolewa kwenye kikosi na bakora nyingi sanaOnyango ndo hatufai kabisa sijui makocha hawaoni upuuzi anaocheza?