FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

Refa naona katumiiwa mzigo kwenye tigopesa uzuri namba yake wanayo.
 
Ally Salim asipobadilisha mtindo wake waudakaji atakuja kutukosti kwenye mechi muhimu (na hii ikiwemo)

We kila mpira unaopigwa unatema tu, tena bila kuangalia kuwa umekaribiwa na wapinzani lakini bado hurekebishiki tu.
Kazi ya golikipa mzuri ni kuzuia mpira usiingie golini sio kudaka mpira.golikipa amefanya sehemu yake kilichotokea ni kutokuelewana tu kwa wachezaji wa simba waliokuwepo ndani ya box na ilo nilakawaida mpirani.Huyu kijana apewe moyo ili ajiamini zaidi badala ya kulaumiwa.
 
Onyango ndo hatufai kabisa sijui makocha hawaoni upuuzi anaocheza?
 
Back
Top Bottom