Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
hongera Sana simba kwa mchezo mzuri ila kwa kuwa haya sio makombe yako umechagua kufa kiume once again
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa. Kabisa Mtani kauli ya sizitaki mbichi hizi. 🤣🤣🤣We cheka tu wakati nimeamua kukuachia upambane na Azam.
Hatuna haja na vikombe vidogo vidogo. Sisi ni wa level ya CAF CL
😂😂😂. HII INATAMKWW MWANASIMBA AKIWA AMELEWA SMART GIN
😅😅🤣😂
Eti timu mbili zenye mpira wa kiwango cha juu zaidi Tanzania
Kutokubali ukweli ni kitu Simba mmefungiwa macho kabisa yaani na ndo kitu kitawafanya mzidi kuchelewa kuimarika
Wanapita kimya kimya. 🤣🤣Wanathimbaaaaaaaaaa
#GuvuMoyaaa
Azam wanajuaga kuikazia Simba tu, lakini wakikutana na Uto huwa wanacheza soft sana
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna mtu ule mshono wake wa matumaini uliobakia unaenda kufumuliwa leo
Waombeni Marumo wa waachie hii nafasiTumekosa nafasi ya kumuadabisha Utopolo .. wana bahati sana mwaka huu
Uto Wana kiwango kikubwa kuliko Azam ndo maana hua unaona kama wanazidiwa [emoji16]Azam wanajuaga kuikazia Simba tu, lakini wakikutana na Uto huwa wanacheza soft sana
NBC PL bado mbichi. Mechi 3 zilizobaki tunashinda zote, Uto mkipoteza 1 na kutoka sare 2, thithi kolokolo tutakuwa mabigwa kwa goals difference.Hivi baada ya hapa sisi Makolo tutegemee kunyakua kombe gani wadau? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipa wenu kapewa sh ngapi na GSM?Azam wanajuaga kuikazia Simba tu, lakini wakikutana na Uto huwa wanacheza soft sana
Hahahaa! Karibu mechi na Dodoma jiji uje uzike hizi kauli zako Mkuu. 😅NBC PL bado mbichi. Mechi 3 zilizobaki tunashinda zote, Uto mkipoteza 1 na kutoka sare 2, thithi kolokolo tutakuwa mabigwa kwa goals difference.
Usitufanyie hivyo ,haya mambo yanazungumzika kishua...Watu wamepigwa nje ndani, maumivu kotekote. Pamoja na kufa kiume wapi... adui muombee njaa
Azam kwa mkopo 💃💃💃💃💃💃💃