Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
NAOMBENI MNISAIDIE KIINGERZA CHA KUFA KIUME KUNA MZUNGU KANIULIZA SIMBA LEO VIPI NATAKA KUMJIBU KAFA KIUME KWA KIINGEREZA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Die Harder....🤣🤣🤣🤣🤣NAOMBENI MNISAIDIE KIINGERZA CHA KUFA KIUME KUNA MZUNGU KANIULIZA SIMBA LEO VIPI NATAKA KUMJIBU KAFA KIUME KWA KIINGEREZA
He is dead maleNAOMBENI MNISAIDIE KIINGERZA CHA KUFA KIUME KUNA MZUNGU KANIULIZA SIMBA LEO VIPI NATAKA KUMJIBU KAFA KIUME KWA KIINGEREZA
Mbona hakuna kiwakilishi cha uana umeDie Harder....🤣🤣🤣🤣🤣
Kama Singida tu ..Azam wanajuaga kuikazia Simba tu, lakini wakikutana na Uto huwa wanacheza soft sana
Upo sahihi ngoja nimjibuHe is dead male
makolo wamelowa wamelowa 😂
Mnacheza lini na Singida?Kipa wenu kapewa sh ngapi na GSM?
Die manhoodNAOMBENI MNISAIDIE KIINGERZA CHA KUFA KIUME KUNA MZUNGU KANIULIZA SIMBA LEO VIPI NATAKA KUMJIBU KAFA KIUME KWA KIINGEREZA
Tuongee habari za leo kipa wa CAF anatemaje mpira kizembe hivyo kama sio tiGo pesa?Mnacheza lini na Singida?
AahaaaaMsimu huu wame copy and paste kwa msimu ulio pita kila kitu vile vile
Bora msimu uliopita walipata mapinduzi cup, msimu huu wamekufa kiumeMsimu huu wame copy and paste kwa msimu ulio pita kila kitu vile vile