The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Katumwa na RC MtandaMod wa leo ni Mtanda naona kagoma kubadili ubao wa matokeo bado kaweka sifri bini sifri
Basi mpeni Salam Yule RC wa Mwanza.Huku ni moya bila
Soma ubao wa matokeo.. SIMBA sio Amphibia weweπmnakula sare
Plus RC πPamba+Utopolo+Polisi+GSM+Mawaziri6+RC vs Simba
Mkuu wa mkoa anaomba maji nasikia.Huku ni moya bila
Tayari wamekatwa shanga hukoPamba+Utopolo+Polisi+GSM+Mawaziri6+RC vs Simba
Unaota??Pamba 1
Chupi upande 0
Yaan,Tumeshajua wanaobebwa ni kina nani
Alichokifanya huyo beki ingekuwa inacheza Yanga basi tungesikia maneno kuwa kahongwa na GSM.
Inabidi avae jersey aingie uwanjani hakuna namna.. πππMTANDA HAWEZI KUKUBALI