Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #141
Sio kweli kulikuwa na Ngoma (kama sikosei) aliyekuwa mbele ya MpoleWachezaji wa Pamba wanamzonga mwamuzi wakitaka apewe kadi nyekundu wakiamini alikuwa mtu wa mwisho baada ya kumblock Mpole George
Alikuwa MavamboSio kweli kulikuwa na Ngoma (kama sikosei) aliyekuwa mbele ya Mpole
Simba Nguvu Moja.....Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza.
Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi?
Wana Simba wote mliopo kuanzia, Nyegezi, National, Buzuruga, Mecco, Nyasaka, Ilemela, Buhongwa mjitokeze kwa wingi kuhanikiza ushindi.
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD.
Live updates zitakujia hapa…
🦁Huku ni moya bila
Kama mtoto pendwa Israel anavyobebwa na Kaka mkubwa USA, au sio!?Hii timu iitwe tu bebwa bebwa fc,bila penalty hakuna ushindi
PoleKilichotomea Kwa baka kimetokea Kwa kapombe ila maamuzi yamekuwa ya tofauti.