FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

Kwa Sasa refa ukitaka uimbwe kuwa jasiri ipige yanga red card ila kwa kolopwinyo kudeka deka fc wape yellow
 
Mnao doubt penati, wachambuzi wanakuambia refa alifanya huruma maana yule mchezaji aliyemchezea faulo Ateba alistahili kupewa kadi nyekundu
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu Mchezaji wa Pamba FC kauza mechi amefanya vile maksudi ili awape penati Makolo FC huyu ni wa kufukuza kwenye timu.Ile sio bahati mbaya ni maksudi kabisa
 
Ngoma, Mavambo hawakuwa mchezoni kabisa leo. Ahoua anapotea haujui kama yupo uwanjani wakati yeye ndiyo anatakiwa kuwa playmaker. Awesu ni mchezaji wa dakika 25.

Hii mechi ilikuwa muhimu ili kuwarudisha wachezaji katika spirit ya ushindani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…