FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Nmekuelewa sana. Wewe ni mwalimu mzuri
 
Hadi sasa bado naamini kuwa Simba angeshinda hii mechi kama angeanza na kikosi cha kwanza/kikosi anachokitumia CAF. Ujuaji umewaponza. Wenzao wanateseka na majeruhi, wao wanacheza fitness yao. Kama ni maandalizi ya CAF..
....si ndo mazoezi uenyewe????
 
Simba inawachezaji quality waliozoea kucheza kwny viwanja bora, usitegemee kuona simba akipata matokeo viwanja vya ugenini sababu sio rafk kwa wachezaji ila cha ajabu wasiojua mpira wanamlaumu kocha
 
Simba inawachezaji quality waliozoea kucheza kwny viwanja bora, usitegemee kuona simba akipata matokeo viwanja vya ugenini sababu sio rafk kwa wachezaji ila cha ajabu wasiojua mpira wanamlaumu kocha
Mchezaji gani wa Simba alietokea nchi ya Africa ambayo viwanja vyake vina quality kuliko Tanzania?
Ivory Coast
Ghana
Zambia
Malawi
Kenya
Uganda DRC?

Semeni kuwa game za mikoani ngumu, hata kule Tanga kuna namna, droo ilkuwa halali yenu.
Chama amepumzika mechi nyingi, Mugalu, Gadiel, ukweli ni kuwa viwango vya timu zetu bila figisu na mahaba ya marefa zipo average
 
Nitamsamehe huyu muispaniola Pablo iwapo tu angalau tukifika fainali ya CAFCC

Tumemaliza rasmi safari ya ubingwa ligi kuu [emoji120][emoji120]
Huko tutolewe ili afukuzwe
 
Hahahah! Sahau kuhusu Hilo mtani,, Labda kichapo atakachopewa Yanga saa moja jion Leo ndio hakikwepeki!!

Simba timu kubwa,, utushike ndevu mtan ishara ya heshima
Sawa tusubiri maana ww tayari umeshikwa kidogo
 
Simba wamefanya upuuzi, mchezo huwa ni kufanya mazoezi, ona sasa tumewakabidhi yanga Kombe, kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…