Leo tarehe 10 April 2022 majira ya saa 16:00, Mnyama hatali Sana , mnyama mwenye njaa ,, mfalme wa nyika , Club ya 12 kwa ubora Africa nzima,, club ya 12 miongoni mwa vilabu vya soka Africa nzima, simba sports club atakuwa na mazoezi ya kupasha misuri pale atapofika kumfundisha mazoezi ya viungo mpaniaji wa mechi hiyo Police Tanzania FC huko mjini Moshi Kilimanjaro!!
Sina mengi , karibu tujumuike masaa machache yajayo tuone mnyama anavyopasha msuri !
Kila la kheri Mnyama Simba!!
Kijan na njano wanaweka record Leo ya kufurushwa kwenye michuano ya shirikisho na kijitimu aka GGM
Utopolo mpambane na hali yenumekuwa ya 12 tena si tlikubaliana kuwa ni ya 6