FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Mfungaji anapata nafasi tatu ndani ya boksi ila hafungi anaokoa. Haki simba timu ya maisha yangu mnazingua
Simba ina mizengwe mingi sana wakati mwingine. Inawezekana walipewa ahadi wakiifunga Gendermerie watapewa mshiko halafu watu wamenyuti.
 
Dakika 3 za nyingeza kumalizika kipindi cha pili
 
Back
Top Bottom