FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Nikiwa na akili zangu timamu na nikiwa shabiki kindaki ndaki wa Simba nachukua nafasi hii kutangaza kuwa Yanga ni bingwa msimu huu NBC Premier league. Tujipange kwa msimu ujao tu. Hakuna namna
Wpte tuseme eimen
 
Simba ina mizengwe mingi sana wakati mwingine. Inawezekana walipewa ahadi wakiifunga Gendermerie watapewa mshiko halafu watu wamenyuti.
Hizo imani zako za kiboya simba haina usoro km huo.ila uwezo wa wafungaji tu ndio ovyo na kikosi kilichopangwa ovyo. Mwalimu kaacha kuwatumia wachezaji baadhi ili.kuwa linda na majeraha kwa ajili ya mechi ijayo.
 
Back
Top Bottom