Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
uliona mbali hamtoboiInabid afanye sub mapema sion kama simba tunatoboa kwa kikosi hiki
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uliona mbali hamtoboiInabid afanye sub mapema sion kama simba tunatoboa kwa kikosi hiki
sio kwa Yanga ya MayelePolisi ni moja ya timu ngumu sana kwa vigogo msimu huu
Hapana Mkuu. Waite na wale kina naniliu basi Mkuu. 🤣🤣Tupooooo na Kwani kutoka sare leo ndo mwisho wa dunia
Huu ndio ukweliHakuna namna mkuu. Asiyekubali kushindwa sio mpinzani. Yanga mwaka huu wanastahili ubingwa
Baada Ya ile Mechi Na USGN Si Mlisema Mugalu Mmoja Ni Sawa Na Mayele 50 [emoji1787]Mayele angekuwa anacheza Simba angefunga magoli mengi sana kwa nafasi nyingi zinazotengenezwa.
Kagere umri miaka 45 atupishe
Mugalu kuendelea kuwa naye ni wastage of time
Bado mechi kibao mkuu tutaboa tu pia wachezaji wamechoka sana maana hawajapumzika kazi kazi hata hivo mm km mwanasimba nawapongeza kibarua kibaki jumapili tuje tumtoe kamasi mtuHapana Mkuu. Waite na wale kina naniliu basi Mkuu. [emoji1787][emoji1787]
Chama kiwango kimeisha, kashindwa kuwanyanyuaChama anabahati ya kuwafunga polisi, ngoja tuone leo lbd atatunyanyua
Wapo mbugani wanakula nyasi.Hivi Wale 5imba Kindakindaki wako wapi leo. 🤣🤣🤣
Mtatoboa aje Mkuu?Bado mechi kibao mkuu tutaboa tu pia wachezaji wamechoka sana maana hawajapumzika kazi kazi hata hivo mm km mwanasimba nawapongeza kibarua kibaki jumapili tuje tumtoe kamasi mtu
Kagere si mlisema anafunga kuliko MayeleMayele angekuwa anacheza Simba angefunga magoli mengi sana kwa nafasi nyingi zinazotengenezwa.
Kagere umri miaka 45 atupishe
Mugalu kuendelea kuwa naye ni wastage of time
Hahahaaa. Na bado Mkuu watakula sana nyasi msimu huu.Wapo nbugani wanakula nyasi.
Simba ilishavuka huko matopeni ipo level.zingine sio.zakulilia mishahara hayo mambo.yapo kule kwa wafunga ng'ombe
Hii iko waziDah!
Mwaka huu Simba anaweza asinyamyue kwapa bara
Lazima mtafute sababu.Anyway.. Akili & nguvu za wachezaji, kocha & viongozi ziko robo fainali CECAFA.
Na wewe kashiriki huo wamichongo tumia akili zako vzr usitumie makamasi kufikiria mpuuzi wewe. Zipo timu zinafanya vibaya ligi za ndani.ila zimebeba vikombe vya champion league mfano Chelsea Fc 2012 walikua ovyo tena wakamaliza ligi nje ya top 4.Kuwa serious basi. Unaweza kutofautisha ushiriki wa michango ya kimataifa na ligi kuu? Simba waache kudharau hizi mechi.
Eti club bora Africa🤣🤣🤣🤣nyoccoHahahaaa. Na bado Mkuu watakula sana nyasi msimu huu.
Dah mkishinda mna kikosi kizuri,mkifungwa au kudraw mnasema timu mbovuKuna wachezaji wengi tu hapo hawana Quality ya kuitumikia Simba.
Almost kikosi chote hapo, labda Kakolanya na Kapombe.
Mlipanda nini mkuu!?!??Tumevuna tulichopanda