FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Hapana Mkuu. Waite na wale kina naniliu basi Mkuu. [emoji1787][emoji1787]
Bado mechi kibao mkuu tutaboa tu pia wachezaji wamechoka sana maana hawajapumzika kazi kazi hata hivo mm km mwanasimba nawapongeza kibarua kibaki jumapili tuje tumtoe kamasi mtu
 
Kuwa serious basi. Unaweza kutofautisha ushiriki wa michango ya kimataifa na ligi kuu? Simba waache kudharau hizi mechi.
Simba ilishavuka huko matopeni ipo level.zingine sio.zakulilia mishahara hayo mambo.yapo kule kwa wafunga ng'ombe
 
Kuwa serious basi. Unaweza kutofautisha ushiriki wa michango ya kimataifa na ligi kuu? Simba waache kudharau hizi mechi.
Na wewe kashiriki huo wamichongo tumia akili zako vzr usitumie makamasi kufikiria mpuuzi wewe. Zipo timu zinafanya vibaya ligi za ndani.ila zimebeba vikombe vya champion league mfano Chelsea Fc 2012 walikua ovyo tena wakamaliza ligi nje ya top 4.
Narudia kukuambia tumia akili na sio makamasi .
 
Back
Top Bottom