FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Dakika ya 82 simba inafanya mabadiliko mengine kwa kumuingiza jimmson na kumtoa nyoni
 
Huyu nyoni anachezaga kwa upepo wa kocha msaidizi wa simba matola, ili asionekane anakula mshahara wa bure!
Wanaboa sana hawa watu, wamekaa kimchongo mchongo tu pale simba...!!!
 
Mfungaji anapata nafasi tatu ndani ya boksi ila hafungi anaokoa. Haki simba timu ya maisha yangu mnazingua
 
Mlio karibu na wachezaji na kocha huko nyumbani, mshahara wa mwezi March wamelipwa kweli Hawa Simba?
 
guvu moya
2828548_16304f0c36a14606a8b5a8cad24e7b08.jpg
 
Back
Top Bottom