FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Mkuu , hiv kulikuwa na sababu yoyote ya kutomwanzisha chama kwenye mechi hii?? Wengine tunaweza fikiria kuwa Ni kwa sababu ya mechi ya kimataifa dhidi ya pirates,, Sasa chama naye Kuna sababu gn ya msing??
Hapakuww na sababu yoyote. Nafikiri kocha alitaka ampe nafasi Raly Bwalya lakini amefeli. Second half sub ifanyike mapema sana
 
Ikipatikana tunapiga unafikiri ndo kusema tuache eti kisa kuna wapambe walisema penati ni kubebwa?
Hadi sasa msha pata penati 7, mmepata 2 na leo mnaweza pata ya mchongo pia
 
Hahahah! Sahau kuhusu Hilo mtani,, Labda kichapo atakachopewa Yanga saa moja jion Leo ndio hakikwepeki!!

Simba timu kubwa,, utushike ndevu mtan ishara ya heshima
 
Mabadiliko kipindi cha pili

Yusuph mhilu anatoka

Pape osthmane sakho anaingia
 
Sielewi kwa nini Uto wanakuwa viporo. Itakuwa ndiyo mchongo kila kona
 
Sijuagi nini Mhilu hufanya kwa ground

Mkuu , hiv kulikuwa na sababu yoyote ya kutomwanzisha chama kwenye mechi hii?? Wengine tunaweza fikiria kuwa Ni kwa sababu ya mechi ya kimataifa dhidi ya pirates,, Sasa chama naye Kuna sababu gn ya msing??
Huyu kocha boya sana. Bahati yake siku siku hizi tofauti na enzi zetu za kutembeza mikwaju mitaa ya msimbazi huku mkama shapu akitupa sapoti kiaina.
 
Back
Top Bottom