Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli..sipendi zile sub za bado dakika tanoKwa hiki kikosi sioni utulivu wa kutafuta goli, ingiza Chama mapema kipindi cha pili
Lini alikuwa Bora?Huyu Yusuf Mhilu apumzike aisee leo hayupo katika ubora kabisa
Mkuu , hiv kulikuwa na sababu yoyote ya kutomwanzisha chama kwenye mechi hii?? Wengine tunaweza fikiria kuwa Ni kwa sababu ya mechi ya kimataifa dhidi ya pirates,, Sasa chama naye Kuna sababu gn ya msing??Kwa hiki kikosi sioni utulivu wa kutafuta goli, ingiza Chama mapema kipindi cha pili
UnaMaanisha 'Kibra' ya wapi ?!Polisi leo mshindwe wenyewe. Mnyama kishaelekea kibra! Yaani bado kuchinja tu.
Na mfungo huu unaomba jambo kama hili?PT kama mlivyotukazia wakazieni na hawa leo wakijipapatua saana basi wapate point moja. Teh teh
#Kilalakheri.
AlinachaPolisi leo mshindwe wenyewe. Mnyama kishaelekea kibra! Yaani bado kuchinja tu.
Hakuna timu hapo, tusubiri penati tuUahindi upo tena sio wakubahatisha
Leo hamchomoki.Alinacha