FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Wawa anapiga kichwa lakini mpira unatoka nje na kuwa goal kick
 
Waterbreak

Jopo la wachezaji wote wa simba wamerudi kunywa maji

Hii ni ishara ya kwamba hakuna aliyefunga
 
Hawa polisi mapochi yote haya wanayapata wanashindwa kuyatumia
 
Kocha yupo kwenye benchi la ufundi au? Hivi hii ndio style gani anayoitumia huyu Pablo? Kwamba polisi ni underdog wa kuwawekea wazee watupu uwanjani? Anyway
 
Erasto nyoni header yake inaenda nje ya lango
 
Back
Top Bottom