FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Simba inawachezaji quality waliozoea kucheza kwny viwanja bora, usitegemee kuona simba akipata matokeo viwanja vya ugenini sababu sio rafk kwa wachezaji ila cha ajabu wasiojua mpira wanamlaumu kocha
Kweli mkuu hata kaitaba kiwanja kilikuwa hovyo sana
 
Simba mchumba tu, sharubu zake za nylon
 
Kama simba mech za away zinamsumbua namna hii basi ubingwa asahau.

Anamechi 6 away tano tu ndo yupo home japo hizo za yanga na azam sio za kuhesabia sana kua ni ugenini lakini bado ni ugenini tu.

Mwenzie yanga ana mechi 4 tu away alizobakiza. Nyigine 7 zote anafinyia taifa. Kwa hali hii yanga ubingwa upo mkononi ni yeye tu audondoshe.
 
Jamani kwa huyu kocha na hawa wachezaji ubingwa byebye yanga bingwa msim huu
 
Ubingwa wa Yanga msimu huu
Msimu ujao simba ifanye overhaul na iache kutoa bonus, mchezaji anatakiwa ajitume maana ndo kazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…