Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hapana, Yanga huwa wanaongoza tu halafu nyinyi mnakuja kutwaa ubingwa.Simba wamefanya upuuzi, mchezo huwa ni kufanya mazoezi, ona sasa tumewakabidhi yanga Kombe, kimasihara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, Yanga huwa wanaongoza tu halafu nyinyi mnakuja kutwaa ubingwa.Simba wamefanya upuuzi, mchezo huwa ni kufanya mazoezi, ona sasa tumewakabidhi yanga Kombe, kimasihara
Siyo kweliFocus ya Simba ni Caf na sio huku mtaani.
Yanga si wajinga kupoteza point 11Hapana, Yanga huwa wanaongoza tu halafu nyinyi mnakuja kutwaa ubingwa,
Kweli mkuu hata kaitaba kiwanja kilikuwa hovyo sanaSimba inawachezaji quality waliozoea kucheza kwny viwanja bora, usitegemee kuona simba akipata matokeo viwanja vya ugenini sababu sio rafk kwa wachezaji ila cha ajabu wasiojua mpira wanamlaumu kocha
Simba mchumba tu, sharubu zake za nylonLeo tarehe 10 April 2022 majira ya saa 16:00, Mnyama hatali Sana , mnyama mwenye njaa ,, mfalme wa nyika , Club ya 12 kwa ubora Africa nzima,, club ya 12 miongoni mwa vilabu vya soka Africa nzima, simba sports club atakuwa na mazoezi ya kupasha misuri pale atapofika kumfundisha mazoezi ya viungo mpaniaji wa mechi hiyo Police Tanzania FC huko mjini Moshi Kilimanjaro!!
Sina mengi , karibu tujumuike masaa machache yajayo tuone mnyama anavyopasha msuri !
Kila la kheri Mnyama Simba!!
Kijan na njano wanaweka record Leo ya kufurushwa kwenye michuano ya shirikisho na kijitimu aka GGM
Utopolo mpambane na hali yenu
=========================================
LIGI KUU: SIMBA YAAMBULIA POINTI MOJA KWA POLISI TANZANIA
Simba imeambulia pointi moja katika mchezo wa ugenini wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania kwa matokeo kuwa 0-0 kwenye Uwanja wa Ushirika Moshi, leo Aprili 10, 2022.
Simba imefikisha pointi 41 na kujitengenezea mazingira magumu ya kutetea ubingwa wake kwa kuwa Yanga ipo kileleni ikiwa na pointi 51, hivyo kuna tofauti ya pointi 10, timu zote zikiwa na michezo 19. Polisi wapo nafasi ya nane wakiwa na pointi 24.
Baada ya mchezo huo Kocha wa Simba, Pablo Franco alisema ni ngumu kucheza mechi mbili ndani ya siku mbili, alifanya mabadiliko ya kikosi ili kukwepa wachezaji kuumia kuelekea mchezo ujao kutokana na hali ya uwanja kutokuwa nzuri
Wazo lako.Siyo kweli
Labda CufFocus ya Simba ni Caf na sio huku mtaani.
Tatizo kwa polisi ukiingiza chupri wanakushitaki kwa kutaka kuwapa rushwaFocus ya Simba ni Caf na sio huku mtaani.
Wana maneno mengi kama vyura wa masika. Ukirusha japo kijiwe tuu,wooote kimya[emoji23]Simba maneno mengi mkuu!
Kawapokee mawifi zenu tunawasubiria jumapili.Labda Cuf
Jiandae ukawapokee wifi zako. Tunakungojeeni jumapili.Tatizo kwa polisi ukiingiza chupri wanakushitaki kwa kutaka kuwapa rushwa
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Ni siku ya taifa kupata aibuJiandae ukawapokee wifi zako. Tunakungojeeni jumapili.
Hahahaaaa. Hamna Mkuu huo ni ukweli eti.🤣🤣🤣🤣
Uchochezi
Heshima ya taifa siku zote inatoka msimbazi.
Kwa kipi walichofanya!?Heshima ya taifa siku zote inatoka msimbazi.