FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

Hii mechi ni ngumu jamani tuache masihara, tukipata hata penati inabidi tutumie vizuri fursa vinginevyo tunaondoka na point moja au tunapigwa
 
Mechi ngumu hii
Hawa police kawaida yao kukaza Ila mechi inaenda kuisha kipindi cha pili.

Hadi sasa safu ya mbele Mwalimu aliacha ifanye rotation kuanzia kwa Khalid Aucho hadi mbele kabisa.

Tunatakiwa kubadilika na wachazaji wasiache nafasi sana kwa police kucheza.
 
Hii mechi ni ngumu jamani tuache masihara, tukipata hata penati inabidi tutumie vizuri fursa vinginevyo tunaondoka na point moja au tunapigwa
Mkuu Sisi Si Wategemea Penalty Kama Ambavyo Unaona Mayele Hana Goal La Penalty Hadi Sasa Japo Ni Top Scorer So Far.
 
Hii mechi ni ngumu jamani tuache masihara, tukipata hata penati inabidi tutumie vizuri fursa vinginevyo tunaondoka na point moja au tunapigwa
Kufungwa au kutoa sare ni matokeo ya mpira ambayo hata timu yako ya Simba imeyapata
 
kazi yake imeisha
Na uwanja wa Mbeyav City nao umefungiwa.
Yaani akishafungwa Simba wanafungia Kiwanja ili Yanga asiuchezee.
Bodi ya Ligi waliviruhusuje hivyo hivyo Viwanja.
Huzi ni Njama za GSS na TIEFUAEFU kuihujumu Simba
 
Back
Top Bottom