ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
- Thread starter
- #101
So Far Polisi Tz Wamejitahidi sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Filimbi ilishapigwaHaya sasa tunaanza kuhesabu zile nafasi za wazi ambazo mayele anakutana nazo na anakosa magoli
Hii ni nafasi ya pili kwa huu mchezo
Hawa police kawaida yao kukaza Ila mechi inaenda kuisha kipindi cha pili.Mechi ngumu hii
Hakuna atakayebaki salama mbele ya Dar Young Africans.Naam naona kipute kimewaka,ngoja niagize chupa yangu ya kahawa niangalie kama hii leo Uto watasalimika kwenye mikono ya vijana wa Siro!
Kuna roho inaniambia leo Shadeeya atalala na huzuni.Hivyo akili yako ndo imeishia hapa. Duuh.
#Pole.
Mtani Naona Unapotosha Umma Ilikuwa Offside.Mayeleeeee kapaishaaaa
Bora huu uwanja kuliko ule wa Moshi tulioukwepa, hasa ukizingatia kuwa hauna maji, tutashinda tu mkuu.Uwanja hauwaruhusu kabisaa Yanga kucheza lile kandanda lao
Leo mnacheza bunju?Hii mechi ni ngumu jamani tuache masihara, tukipata hata penati inabidi tutumie vizuri fursa vinginevyo tunaondoka na point moja au tunapigwa
We mwanapolice naona umeamua kupotosha Umma.Dakika ya 22 Nafasi ya tatu hii tena mayele anakosa bao la wazi
[emoji91][emoji91][emoji91]KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mkuu Sisi Si Wategemea Penalty Kama Ambavyo Unaona Mayele Hana Goal La Penalty Hadi Sasa Japo Ni Top Scorer So Far.Hii mechi ni ngumu jamani tuache masihara, tukipata hata penati inabidi tutumie vizuri fursa vinginevyo tunaondoka na point moja au tunapigwa
Mi nazungumzia tukio lililotanguliaMtani Naona Unapotosha Umma Ilikuwa Offside.
Kufungwa au kutoa sare ni matokeo ya mpira ambayo hata timu yako ya Simba imeyapataHii mechi ni ngumu jamani tuache masihara, tukipata hata penati inabidi tutumie vizuri fursa vinginevyo tunaondoka na point moja au tunapigwa
Mtazame Mayele Anavyopambana Si Wale Strikers Wako Wanao Kunja Nne Na Wapo Nyoronyoro.Mi nazungumzia tukio lililotangulia
Na uwanja wa Mbeyav City nao umefungiwa.kazi yake imeisha