FT: Portugal 0-1 Spain | World Cup 2026 | AT&T Stadium | 6 Julai, 2026 | 4:00 Usiku | Portugal yaaga mashindano

FT: Portugal 0-1 Spain | World Cup 2026 | AT&T Stadium | 6 Julai, 2026 | 4:00 Usiku | Portugal yaaga mashindano

Spain Backline. Cuculera, cubasi, laporte porro linganisha na Cancelo, Dias, veiga na Mendez.
Kiuhalisia kabisa. Hapa ureno wapo vizuri kuliko spain.
Center of the pack. Spain wana Rodri pedri na Olmo. Wakati ureno wana vitinha, Neves na Bruno. Hapa tena Ureno wanaonekana kuwa zaidi kuliko Spain.
Kule juu kabisa. Spain wana Yamal, Oryazabal na Baena. Wakati Ureno wana CR7, Neto na Leao. Hapa naona ni 50/50.
Nini tutarajie. Spain watadominate hii game. Kutakuwa na idadi ndogo sana ya magoli. Na natabiri Spain watashinda kwa 1-0.
 
Ngoja tuone

1783366064132.png
 
Mpira mchezo wa wazi, Hispania wana wachezaji wazuri lakini kuwa na wachezaji wazuri sio lazima utakuwa mshindi, ushindi ni namna unavyotengeneza timu kucheza kwa kuelewana.
Hispanic lazima ashinde

Ova
 
Back
Top Bottom