FT: Portugal 0-1 Spain | World Cup 2026 | AT&T Stadium | 6 Julai, 2026 | 4:00 Usiku | Portugal yaaga mashindano

FT: Portugal 0-1 Spain | World Cup 2026 | AT&T Stadium | 6 Julai, 2026 | 4:00 Usiku | Portugal yaaga mashindano

''Tutaendelea kuhama team hadi tuhakikishe tunachukua kombe''

Alisikia shabiki wa Mbuzi akitoa kauli ya kuwafariji wafiwa.
 
Spain Backline. Cuculera, cubasi, laporte porro linganisha na Cancelo, Dias, veiga na Mendez.
Kiuhalisia kabisa. Hapa ureno wapo vizuri kuliko spain.
Center of the pack. Spain wana Rodri pedri na Olmo. Wakati ureno wana vitinha, Neves na Bruno. Hapa tena Ureno wanaonekana kuwa zaidi kuliko Spain.
Kule juu kabisa. Spain wana Yamal, Oryazabal na Baena. Wakati Ureno wana CR7, Neto na Leao. Hapa naona ni 50/50.
Nini tutarajie. Spain watadominate hii game. Kutakuwa na idadi ndogo sana ya magoli. Na natabiri Spain watashinda kwa 1-0.
Kocha huyu hapašŸ‘
 
Back
Top Bottom