FT: Portugal 0-1 Spain | World Cup 2026 | AT&T Stadium | 6 Julai, 2026 | 4:00 Usiku | Portugal yaaga mashindano

Ureno Hana timu Bali ana wachezaji Tu ambao wanaweza Ku suits kwenye baadhi ya mifumo, Yule Kocha Martinez ana gundu..Binafsi nilitarajia mechi itakuwa Kali Sana lakini mechi inachezwa kwenye makaratasi, wachezaji hawaoneshi zile individual efforts wao wanafuata pattern ya Kocha Tu, too boring... Portugal kwenye soka la ushindani wanaelekea shimoni, maana sioni talents tena.
 
Ronaldoooooo ......

KIKO WAPIIIIII??????????????
 
Screenshot_20260707-001835_Facebook.jpg
 
Ureno Hana timu Bali ana wachezaji Tu ambao wanaweza Ku suits kwenye baadhi ya mifumo, Yule Kocha Martinez ana gundu..Binafsi nilitarajia mechi itakuwa Kali Sana lakini mechi inachezwa kwenye makaratasi, wachezaji hawaoneshi zile individual efforts wao wanafuata pattern ya Kocha Tu, too boring... Portugal kwenye soka la ushindani wanaelekea shimoni, maana sioni talents tena.
Mkuu, mbona soka lilikua safi tu ila la tahadhari. Ilikuwa ni lazima mmoja apoteze.
 
Back
Top Bottom