Bayern akiwa kwake anakiwa offensive sana kwasababu mara zote anakufanya uwe nyuma ya mpira.Hakuna goli buyern anaweza funga psg asifunge itaendelea kuwa funga ni kufunge mwenye uwezo wa kuzuia ndio atapita ni wote hawajui kuzuia ila psg ana kauafadhali
Hiyo cleen shit labda mechi iishe dakika 15 za mwanzoMechi inayokuja Bayarn, anamchabanga PSG 2-0 na kwenda fainali ambapo naye atachabangwa na Arsenal bila chembe ya huruma.
Hakuna timu inayoweza kucheza offensive muda wote isikupe room ya kufika kwenye 18 yake mwanzo mwisho.Bayern akiwa kwake anakiwa offensive sana kwasababu mara zote anakufanya uwe nyuma ya mpira.
Hakupi room ya wewe kuifikia 18 yake labda iwe kwa counter lakini sio transition
Epl tu inakutoa kijasho utauweza mziki wa Uefa😂Arsenal tusisogee fainali tukakutana na moja kati ya hizi timu mbili, tutaumizwa.
Bayern tulimfunga mwanzo but sio huyu wa sasa, na sisi sio wale....
Mbona inawezekana kabisa. Hukumbuki jinsi PSG walivyodinywa na Chelshit 3 sifuri.MmHiyo cleen shit labda mechi iishe dakika 15 za mwanzo
🤝Ila huwezi amini ukilinganisha hii PSG na PSG ya miaka 2 iliyopita ni mbingu na nchi. Luis henrique kaijenga hii timu
Ile ilikua mechi Moja tu, ZIngechezwa mechi mbili kama hii tuone nani angepita.Mbona inawezekana kabisa. Hukumbuki jinsi PSG walivyodinywa na Chelshit 3 sifuri.
Kumbuka hii ya Leo imeshapita. Ile ijayo ndo itaamua.Ile ilikua mechi Moja tu, ZIngechezwa mechi mbili kama hii tuone nani angepita.
Naam, Hii ya Leo ilikua mwanzo hiyo ya pili ndio utakua mwisho.Kumbuka hii ya Leo imeshapita. Ile ijayo ndo itaamua.
Mwenyeji atanufaika mechi ijayo.Naam, Hii ya Leo ilikua mwanzo hiyo ya pili ndio utakua mwisho.
Kwahyo kila Mmoja ataendeleza alipofikia leo
Naam, Hii ya Leo ilikua mwanzo hiyo ya pili ndio utakua mwisho.Kumbuka hii ya Leo imeshapita. Ile ijayo ndo itaamua.
Sawa tutaonaMwenyeji atanufaika mechi ijayo.
Ndio maana sitaki lawama, hii nusu fainali naona inatutosha kabisa.Epl tu inakutoa kijasho utauweza mziki wa Uefa😂
Duh!Leo wanapigwa, mechi ya marudio inatoka sare
Fainali ni kati ya Arsenal na Bayarn.Naam, Hii ya Leo ilikua mwanzo hiyo ya pili ndio utakua mwisho.
Kwahyo kila Mmoja ataendeleza alipofikia
Sawa tutaona