OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wanasoka tumeteseka
WanaSimba tumeteseka
WanaJF tumeteseka
Kila mtu ameteseka
Hata wanaUto wameteseka
Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba
Hakuna yasiyo na mwisho, hatimaye leo imefika tamati ya mateso.
Simba ikiwa kamili gado full mkoko itaenda kuwalipia mateso hayo kwa Coastal Union ya Tanga. Mechi kuchezwa Saa 1 jioni Uwanja wa B.Mkapa.
Baki hapa hapa tutakuletea udondozi Simba Sc ikitumbuiza.
=======
Mchezo umeanza kwenye Uwanja wa Mkapa
5' Kasi ya mchezo siyo kubwa
10' Simba wanamiliki mpira muda mwingi
20' Simba wanafika langoni kwa Coastal lakini hawajatengeneza nafasi za uhakika
23' Chama anapata nafasi shuti lake linapaa juu
29' Shambulizi langoni mwa Coastal lakini kina anakuwa makini na kuudaka mpira.
31' Coastal wanaonesha ubora
40' Bado mambo ni magumu licha ya Simba kutawala mchezo muda mwingi
45' MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
49' Simba wanamiliki mpira lakini Coastal wanaonesha utulivu
51' Baleke anaonesha ufundi lakini shuti linatoka nje
56' Gooooooo
Kanoute anaipatia Simba goli kwa shuti kali, akimalizia pasi ya Sakho
71' Saido anapiga pasi inatoka nje karibu na lango la wapinzani
72' Shambulizi kali langoni mwa Simba lakini Coastal wanakosa umakini
87' Kibu Denis anapata nafasi anapiga shuti linatoka nje
90' Mchezo umekamilika
FULL TIME