FT: Raundi ya Tatu ASFC: Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 28/01/2023

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Wanasoka tumeteseka
WanaSimba tumeteseka
WanaJF tumeteseka
Kila mtu ameteseka
Hata wanaUto wameteseka

Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba
Hakuna yasiyo na mwisho, hatimaye leo imefika tamati ya mateso.

Simba ikiwa kamili gado full mkoko itaenda kuwalipia mateso hayo kwa Coastal Union ya Tanga. Mechi kuchezwa Saa 1 jioni Uwanja wa B.Mkapa.

Baki hapa hapa tutakuletea udondozi Simba Sc ikitumbuiza.

=======
Kikosi.jpg
Mchezo umeanza kwenye Uwanja wa Mkapa
5' Kasi ya mchezo siyo kubwa
10' Simba wanamiliki mpira muda mwingi
20' Simba wanafika langoni kwa Coastal lakini hawajatengeneza nafasi za uhakika
23' Chama anapata nafasi shuti lake linapaa juu
29' Shambulizi langoni mwa Coastal lakini kina anakuwa makini na kuudaka mpira.
31' Coastal wanaonesha ubora
40' Bado mambo ni magumu licha ya Simba kutawala mchezo muda mwingi
45' MAPUMZIKO

Kipindi cha pili kimeanza
49' Simba wanamiliki mpira lakini Coastal wanaonesha utulivu
51' Baleke anaonesha ufundi lakini shuti linatoka nje
56' Gooooooo
Kanoute anaipatia Simba goli kwa shuti kali, akimalizia pasi ya Sakho
71' Saido anapiga pasi inatoka nje karibu na lango la wapinzani
72' Shambulizi kali langoni mwa Simba lakini Coastal wanakosa umakini
87' Kibu Denis anapata nafasi anapiga shuti linatoka nje
90' Mchezo umekamilika

FULL TIME
 
Nawakumbusha tu sisi [emoji617][emoji617]🟩🟨 ndio mabingwa watetezi wa kombe hili. Na kauli mbiu yetu ni ileile kuchukua makombe yote matatu hapa nchini, tayari ngao ya jamii, ligi ndio iyo nayo tunaelekea kubeba ni suala la muda tu. Sasa Ole wenu nyie mbwa mjiroge tena kuingia anga zetu mtajutraaa..
Nazani hamjajua kwanini Barbara amekimbia uongozi
 
Unatupigia kelele
 
View attachment 2497892
View attachment 2497893
Wanasoka tumeteseka
WanaSimba tumeteseka
WanaJF tumeteseka
Kila mtu ameteseka
Hata wanaUto wameteseka

Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba
Hakuna yasiyo na mwisho, hatimaye leo imefika tamati ya mateso.

Simba ikiwa kamili gado full mkoko itaenda kuwalipia mateso hayo kwa Coastal Union ya Tanga. Mechi kuchezwa Saa 1 jioni Uwanja wa B.Mkapa.

Baki hapa hapa tutakuletea udondozi Simba Sc ikitumbuiza.
Mbrazil kaondoka naona nyuso zenu za kutamani kuona timu yenu zimeanza kurejea. Karibu anarudi kutoka safari yake kuendeleza soka lake la kina Scars
 
Sema leo mnyama atapiga soka safi sana, sababu yule mzee na formation zake za kwenye karatasi hayupo.
 
View attachment 2497892
View attachment 2497893
Wanasoka tumeteseka
WanaSimba tumeteseka
WanaJF tumeteseka
Kila mtu ameteseka
Hata wanaUto wameteseka

Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba
Hakuna yasiyo na mwisho, hatimaye leo imefika tamati ya mateso.

Simba ikiwa kamili gado full mkoko itaenda kuwalipia mateso hayo kwa Coastal Union ya Tanga. Mechi kuchezwa Saa 1 jioni Uwanja wa B.Mkapa.

Baki hapa hapa tutakuletea udondozi Simba Sc ikitumbuiza.
Yaani imekuwa kama miezi 4 imepita bila burudani ya Simba
 
Nawakumbusha tu sisi [emoji617][emoji617]🟩🟨 ndio mabingwa watetezi wa kombe hili. Na kauli mbiu yetu ni ileile kuchukua makombe yote matatu hapa nchini, tayari ngao ya jamii, ligi ndio iyo nayo tunaelekea kubeba ni suala la muda tu. Sasa Ole wenu nyie mbwa mjiroge tena kuingia anga zetu mtajutraaa..
Nazani hamjajua kwanini Barbara amekimbia uongozi
Chukueni vikombe vyote ila kuingia makundi Champion ni ndoto, Kila mwaka Shirikisho ndo level yenu.
 
View attachment 2497892
View attachment 2497893
Wanasoka tumeteseka
WanaSimba tumeteseka
WanaJF tumeteseka
Kila mtu ameteseka
Hata wanaUto wameteseka

Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba
Hakuna yasiyo na mwisho, hatimaye leo imefika tamati ya mateso.

Simba ikiwa kamili gado full mkoko itaenda kuwalipia mateso hayo kwa Coastal Union ya Tanga. Mechi kuchezwa Saa 1 jioni Uwanja wa B.Mkapa.

Baki hapa hapa tutakuletea udondozi Simba Sc ikitumbuiza.
Ft simba 3 coastal 1
 
Leteni live updates sasa...
Simba Nguvu moya
 
Back
Top Bottom