FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Hivi ule uchawi makolo wanafanya kwa Nkapa kutumia vizee vifupi na mbuzi, kupuliza dawa za usingizi kwa vyumba na kuhonga marefa wa tff waongeze dkk 40 za nyongeza huko kwa waarabu wataweza kweli?
Lolote liwakute makolo!!

Kama kawa niko Buza Mpalanger maskani nitawazoom makolo wakipewa bakora za kutosha kwa miwani yangu ya mbao!!
 
Mbona Azam wanaandika game itapigwa Zanzibar? May 25.
Wamechanganyikiwa ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…